Tanzania tuitakayo ni ipi?, kwa maoni yangu Tanzania tuitakayo ni Tanzania yenye uchumi jumuishi. Yaani aina ya Tanzania yenye uchumi utakaomjumuisha kila mtu bila kujali umri, jinsia, rangi/ukabila, elimu, jiografia, historia, ulemavu, au sifa zingine. Ni aina ya Tanzania ambayo uchumi wake...