uchumi kenya

Uchumi Supermarkets, often referred to simply as Uchumi, is a Kenyan supermarket chain. The word uchumi means "economy" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    G4S Kenya kupunguza wafanyakazi angalau 400 kutokana na hali ngumu kiuchumi

    G4S Kenya imetangaza kuwa itapunguza angalau wafanyakazi 400 kufuatia kupungua kwa biashara kunakosababishwa na athari za changamoto ngumu za kiuchumi, hali ambayo imesababisha kupungua kwa mapato na gharama kubwa za kuendesha biashara. Barua kutoka G4S Kenya kwa Wizara ya Kazi iliyoonekana na...
  2. Cute Wife

    Mahakama kuu yaamuru serikali kusitisha zoezi la wanajeshi kwenda mtaani kuzuia maandamo

    Mahakama Kuu yaiamuru serikali kusitisha mara moja zoezi lake la kupeleka wanaeshi mtaani ili kutuliza maandano. Hili limekuja baada ya Ikulu kutoa taarifa kuwa Rais Ruto amekataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Mahakama pia imeamuru Usalama wa Taifa Kenya pamoja na Polisi...
  3. Kaka yake shetani

    Wakenya wakifanikiwa kwenye maandamano yao basi watatuona Watanzania wajinga sana kwenye nchi yetu

    Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri. Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu. Huku kwetu tulishatishiwa tukimbilie Burundi au kuwaishwa fasta kabla...
  4. Cute Wife

    Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya

    1/7/2024 Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki iliyopita amefia Nakuru na Daniel Kakai (17) mwanafunzi kutoka Bungoma aliyepigwa risasi Alhamisi...
  5. Analogia Malenga

    Ruto: Nilitumia pesa kidogo kwa ziara yangu ya Marekani

    Rais Ruto: Ndege yangu ya kwenda Marekani iligharimu chini ya Ksh.10 milioni. Hakuna njia ninaweza kutumia Ksh.200 milioni. Mimi ni msimamizi mwaminifu. Mimi si mwendawazimu. Lazima niwe kiongozi wa mfano na mjadala huo lazima ukome. ==== Pia soma: Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa...
  6. ChoiceVariable

    Wakenya: Ruto awe anaishi nje ya nchi kuliko kusafiri kila siku

    Ruto ndio Rais anaongoza kusafiri sana hapa Afrika ,akifuatiwa na Rais wa Nigeria. My Take Labda anawatafutia kazi ma Hustlers 😁😁 ===== Baada ya Rais Ruto kuwa na ziara nyingi sana nchi za nje, baadhi ya Wakenya warusha kejeli kwenye mitandao ya kijamii kwa kumuita majina mbalimbali kama vile...
Back
Top Bottom