Tanzania imeorodheshwa miongoni mwa Nchi 10 ambazo Uchumi wake utakua zaidi na kusaidia Bara la Afrika yaani Sub-Saharan Afrika.
Taarifa iliyotpkewa na WB imesema Uchumi wa Afrika utapungua kidogo Kwa sababu ya vita vya Sudan kinyume na makadirio ya awali
My Take: Tanzania ya Mama Samia...