Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika kutoka Umoja wa Ulaya, Hans Christian Stausboll, ambaye wamejadili naye masuala ya ushirikiano katika uchumi wa kidijitali nchini.
Mazungumzo hayo yamefanyika...
Uchumi wa Buluu kwa Tanzania tuna Maanisha ni uchumi utokanao na Anga utalii ,na vyanzo vya maji (Bahari, Mito, maziwa, chemchem).
Mada yangu itajikita kwenye vyanzo vya maji na hasa uchumi wa uvuvi utokanao na Bahari na kwenye maziwa makuu ,hapa nchini.
Sisi wa Tanzania kupitia serikali...
Utangulizi
Kupunguzwa kwa gharama za intaneti ni suala muhimu linalogusa nyanja nyingi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Tanzania, kama nchi nyingi za Afrika, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa kidigitali kupitia upatikanaji wa intaneti nafuu na yenye kasi. Katika makala hii, tutaangalia...
MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha nyingi sana kwenye Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Nampongeza Waziri Nape na Naibu...
Katika mahojiano yake maalum aliyoyafanya hivi karibuni huko Raisina,Waziri huyo mstaafu bwana Iva Korkok amesema,India ni mshirika wa karibu sana wa taifa hilo katika mahusiano ya kimataifa na ina nguvu kubwa katika ustadi wa kidijitali wa uchumi wa kidijitali na uboreshaji wa teknolojia ya...
Kampuni ya China Telecom inasaidia utoaji elimu kwenye mtandao wa internet kupitia mikonga ya mawasiliano iliyojenga barani Afrika
Hivi sasa, uchumi wa kidigitali umetajwa na nchi nyingi za Afrika kama sekta muhimu ya kufufua uchumi, kutafuta maendeleo ya ubunifu na kuboresha maisha ya watu...
1. UTANGULIZI;
Habarini zenu wadau wote wa jamii forums, vijana wenzangu, waandaaji
na wafuatiliaji wa jukwaa hili la “story of change”, Makala hii fupi ni kwa lengo la kuelimishana na kufundishana hasa vijana wenzangu Walioko katika jukwaa hili la jamii forums (story of...
“Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.