Tanzania, nchi yenye mandhari ya kuvutia na utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inajivunia kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wake kutokana na sekta mbalimbali kama madini, gesi asilia, kilimo, utalii, uvuvi, misitu, nishati, na mafuta. Rasilimali hizi zimeweza kusaidia katika kukuza uchumi...
Wakuu mpo?
Kwa wale mlio na familia namaanisha mke na watoto nadhani mtanielewa kwa haraka,
Mtu aliyeoa mwenye majukumu, mwenye afya njema ni nadra sana kumkuta kalala ndani bila kujishughulisha na kazi yeyote, wengi huamka asubuhi huenda kazini na kurudi home mida mibovu, sababu kubwa ni...
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kwa pamoja kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa kukemea na kushirikiana na Vyombo vya Dola kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ili kuhakikisha jamii inabaki salama dhidi ya...
Wanabodi,
Kupokea na kuuza nje bidhaa mbalimbali ni jambo la muhimu na la kawaida katika nchi yoyote. Kulingana na uhitaji wa bidhaa mbali mbali au mahusiano kati ya nchi moja na zingine, bidhaa huingizwa kukidhi mahitaji haya au huuzwa nje ya nchi kuiingizia serikali na makampuni husika...
Wanabodi,
Katika kipindi hiki, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu, uchaguzi utakaotupa fursa kama wananchi kutafakari masuala mbalimbali yanayotuhusu kisiasa na kimaendeleo, hatuna budi kupasua kichwa tukiwaza jinsi ambavyo kama nchi tunaweza kujikwamua kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe, anaendelea kuonyesha miujiza iliyokuwa kama haiwezekani kufanyika , anaendelea kukosha mioyo ya watanzania, anaendelea kugusa kila eneo. Anaendelea kukuza uchumi wetu kwa kasi ya ndege vita, anaendelea kuonyesha kuwa hajafika hapo...
Leo hii tumetambua umuhimu wa treni kwa uchumi wa taifa letu.
Mabasi ni kero kubwa sana. Na yanachelewesha sana.
Sasa lini? Dodoma Mwanza kitakamilika?
Soma Pia: Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania
1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito, Watu wanajua kikosi kizima lakini hawajui chochote kuhusu vifurishi vya bima.
2. Kutumia kiswahili shuleni - Kama taifa...
Tunaimbiwa wimbo wa nchi yetu kuwa na maendeleo ya kila uchwao huku tukisikia taarifa kuwa uchumi unapanda, wengine tukisikia tunajua huenda keki ya Taifa itafika na kwetu angalau tuache kupiga miayo tukiiwaza siku itaishaje baada ya asubuhi na mchana kupita pakavu yaani bila bila.
Cha ajabu...
Kama mimi ningekuwa katika nafasi hiyo ya kuongoza taifa.
Kitu pekee namba moja ningewaomba wachina katika ziara yangu mimi na jopo langu basi si kingine zaidi ya washauri wa masuala ya uchumi, elimu na teknolojia.
Ningepambana mimi na jopo langu jinsi tuwezavyo serikali ya China itupatie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.