uchumi wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maoni kuhusu uwekezaji katika Kampuni ya uzoaji takataka

    Ndugu Zangu Habarini Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk. Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za mradi huu pia zi zipi fursa za kukuza mradi huu. Pia nataka kujua namna ya uendeshaji wa mradi huu...
  2. IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

    Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo...
  3. Ubepari wa Kigeni Katika Uchumi wa Tanzania Leo

    Habari ya siku, wasomi wa kweli, nguvukazi yetu na watu mlio Imara. Poleni na shughuli na purkushani za hapa na pale. Mola awajaalie mpate afadhali zaidi. Moja kwa moja kwenye Mada: Pamoja na Ubepari wa kibinafsi na mabwanyenye wa kienyeji hapa Tanzania, kuna utaratibu wa uzalishaji mali wa...
  4. Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  5. Kwa hali ya Uchumi wa Tanzania ilivyo hivi sasa, jumuiya ya kimataifa ikituminya, wananchi jiandaeni kula nyasi

    Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Nchini Tanzania kwa sasa yanaiinua Jumuiya ya Kimataifa kuitupia macho nchi hii, Ubambikizaji wa kesi za uongo za Uhaini kwa wazalendo wapigania Mali za Nchi umefika kwa wafadhili wa nchi ambao wamekwisha jiridhisha kwamba kesi hizi ni kwa ajili ya kuwalinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…