uchumi

  1. Bandari ya Tanga kinara wa uchumi Mkoa wa Tanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  2. Sare za wanafunzi kama njia ya kupambana na cartel ya mitumba kuelekea mapinduzi ya uzalishaji wa vitenge vya ndani

    Utangulizi Kwa miongo mingi, Tanzania imekuwa soko kubwa la nguo za mitumba, kiasi kwamba viwanda vya ndani vya nguo vimeshindwa kustawi. Ingawa biashara hii imewanufaisha baadhi ya wananchi kwa nguo nafuu, imekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya viwanda vya nguo nchini. Tatizo hili...
  3. L

    China yaweka lengo la asilimia 5 la ukuaji wa uchumi, wakati Marekani inajaribu kuvuruga utaratibu wa uchumi dunia

    Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
  4. G

    Walioshauri viongozi wetu kununua umeme Ethiopia km maelfu badala ya Nyerere wakamatwe wahojiwe km wahujumu uchumi ,Victoria inakuwaje chanzo mbadala

    Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly Nchi inapambana walau tuongeze export ya...
  5. Ufugaji wa Samaki ni Fursa ya Kuimarisha Uchumi Wako

    Ufugaji wa samaki ni taaluma inayokua kwa kasi, lakini wengi hawana ujuzi wa kutosha. Kwa hivyo, watu wengi huanzisha miradi bila mwongozo sahihi, na hatimaye hupata hasara kubwa. Ikiwa utapata mwongozo wa kitaalamu na utekelezaji sahihi, ufugaji wa samaki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato...
  6. Y

    David Kafulila: Wanawake wataongeza Dola Trilioni 28 kwenye mzunguko wa Uchumi wa dunia ikiwa tu tutaamua kuwashirikisha kikamilifu

    Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa. Kafulila anasema ikiwa Taifa na Dunia tutaamua kuwashirikisha vema wanawake katika Ujenzi wa Uchumi wa Dunia au wa Taifa...
  7. Ifike wakati Simba na YANGA zisifanywe kama vitega uchumi vya chama cha Mpira na BODI yake ya li..mbona mechi na pamba amkuhairisha huo n ujingaaaa!!!

    Shida iliopo n upigaji WIZI Na utapeli Nakuheshimu kama tff na BODI YENU Ila siwaogopi Ogopa DHAMBI ya kuwaogopa watu Kuwaogops wanadamu n kuleta LAANA maishani mwako HAya mambo yafike wakati yafike fiffa na caf tupate uhalisia WA matumizi ya kanuni na sheria za tff Haiwezekani wewe UNAWEKA...
  8. Eric Shigongo: Nilipata kusafiri nchi tofauti, wana hali mbaya sisi tuna nafuu uchumi unakua

    Wakuu Serikali imemaliza tatizo la maji katika Kijiji cha Buswelu, Kata ya Nyanzande, Jimbo la Buchosa, kwa kujenga kisima kirefu kinachotumia nishati ya jua kusambaza maji kwa wananchi. Ahadi ya kutatua changamoto hiyo ilikuwa miongoni mwa ahadi za Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, kwa...
  9. Mkutano wa kujadiliana kwa pamoja fursa mpya kutokana na uchumi wa China wa CGTN Kiswahili wafanyika Nairobi

    Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) umefanyika tarehe 6 mjini Nairobi, Kenya. Katika mkutano huo, wataalamu wa masuala...
  10. Tariffs za Tanzania zitaumiza uchumi wetu dhidi ya Marekani, Japan na Ulaya

    Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%. Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
  11. MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  12. Tanzania nchi kumi bora utajiri na uchumi Afrika

    Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
  13. Juliana Shonza na Jitihada za Kuinua Uchumi wa Wanawake Wilaya ya Songwe

    JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake alivyovianzisha na kuvipa mitaji ili kuwainua kiuchumi kwa shughuli za kujiajiri wanazozifanya Juliana...
  14. Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

    Mkoa umebarikiwa kila kitu Sijui wagosi wanafeli wapi
  15. CHADEMA inawaza madaraka tu hawana Sera za kukwamua uchumi wa Tanzania

    Sijaona maono yoyote ya maana kutoka kwa Mwenyekiti mpya wa chadema ambayo yanaweza kubadili nchi zaidi ya kuwazia madaraka ya kiserikali tu. Sijasikia mipango madhubuti kwenye sekta mbalimbali mfano kilimo,teknolojia,ajira,afya,elimu au maswala ya ulinzi na usalama. Ni ujuha kalulu kufikiri...
  16. David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

    David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki. "Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
  17. Uchumi Mkubwa wa Musoma Vijijini Kutoka Ndani ya Ziwa Victoria: Uvuvi wa Vizimba

    Ziwa Victoria lina umri wa takribani miaka 400,000 na ujazo wake wa kawaida ni kilomita za ujazo 2,760 (2,760 cubic kilometres). Mvua za mwaka jana ziliongeza ujazo wa maji ndani ya bonde la Ziwa Victoria lenye ukubwa kilomita za miraba 195,000 (195,000 square kilometres). Lilikuwa ongezeko la...
  18. Pre GE2025 ACT, CHADEMA, CHAUMMA, CUF na NCCR- Mageuzi kuungana kuikabili CCM

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
  19. Wazoefu na wabobezi: Nina akiba ya Tsh. Milioni 50 nianze na kipi maishani?

    Habarini za wakati huu ndugu zangu wapendwa wa Jf. Ni hivi, Kuna maeneo ya familia yameuzwa mahali na kila mwanafamilia amepata gawio la Mil.45. Na kwa kuwa nilikuwa na akiba ya kama Mil.5 benki basi nikajumuisha na ile Mil.45 ikawa kama Mil.50. Najua humu kuna watu wa kada mbalimbali...
  20. Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

    Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…