Uchumi wa fremu (Framenomics, Frame + Economics=Framenomics), ndio uchumi halisi wa nchi hii. Uchumi wa kuagiza vitu na kuviuza. Kuimport na kuuza. Hakuna uzalishaji wa bidhaa au huduma wala hakuna exports.
Changamoto ni nyingi sana, mipango, ardhi, mtaji, sheria za nchi, na umeme halafu Umeme...