ucsaf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UCSAF: Minara 107 inajengwa nyanda za juu Kusini ili kuboresha upatikanaji wa Mawasiliano kwa wananchi

    Minara 42 ya Mawasiliano kati ya Minara 107 inayojengwa kanda ya nyanda za juu Kusini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imekamilika Akizunģumza kupitia kipindi cha #Checkpoint, Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) nyanda za juu kusini Mhandisi Richard Sotery amesema ujenzi wa minara...
  2. Waziri Jerry Silaa amteua Mhandisi Mwasalyanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)

    TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya Kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya Mwaka 2009 amemteua Mhandisi Peter Phillip Mwasalyanda kuwa Afisa...
  3. Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇 --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:- i. B.i...
  4. Mpango wa Minara ya UCSAF kunufaisha Watu Milioni 8.5, Wilaya ya Kibondo Wanufaika

    MPANGO WA MINARA UCSAF KUNUFAISHA WATU MILIONI 8.5, WILAYA YA KIBONDO WANUFAIKA Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema kuwa wananchi milioni 8.5 watanufaika na kuunganishwa kwenye mawasiliano ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano kupitia mpango...
  5. Katavi: UCSAF yajenga Kituo cha Redio Mpimbwe

    Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ambao ndio wafadhili wakuu wa kujenga vituo vya Serikali kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekamilisha ujenzi wa kituo cha redio ya jamii katika Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi chenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 200 ikiwa ni...
  6. UCSAF yasaidia upatikanaji wa matibabu ya kibingwa kupitia mtandao wa mahali mgonjwa alipo

    "Mfuko pia unatekeleza utoaji wa huduma za matibabu ya kibingwa mahali mgonjwa alipo bila ya kutoka sehemu alipo na kuja katika hospitali inayotoa huduma hizo za matibabu ya kibingwa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo taasisi ya TeKnolojia Dar es Salaam (DIT), Hospitali ya taifa...
  7. Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) wafanya mkutano na watoa huduma za mawasiliano Dar

    Mhandisi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote Bw. Shirikisho Mpunji akielezea juu ya namna ya Utekelezaji wa Miradi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) ambapo amesema Miradi hii imegawanyika katika Makundi Makuu mawili ambayo ni: 1. Miradi ya Mawasiliano ya Vijijini ambayo kimsingi Mfuko...
  8. UCSAF yatakiwa kudhibiti mfumo wa taratibu za manunuzi na usambazaji wa vifaa vya TEHAMA shuleni

    UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
  9. J

    Serikali kutangaza zabuni ya kupeleka mawasiliano maeneo ya mipakani

    SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo la kupeleka mawasiliano katika kata 179 zenye vijiji 358 mradi unaolenga kupunguza changamoto ya mawasiliano kwa...
  10. Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) umetoa Fursa kwa Wadau nchini

    Na Celina Mwakabwale- UCSAF Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umetoa wito kwa wadau wa Mawasiliano nchini wakiwemo wamiliki wa redio hasa radio jamii, runinga na huduma za waya (cable tv) kuchagamkia fursa zinazotolewa na Mfuko huo ili kuboresha usikivu wa vyombo vyao kwa lengo la kuwezesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…