udaktari wa heshima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Mtanzania atunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards

    Mtanzania Diana Laizer ametunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards huko London nchini Uingereza kutokana na mchango wake kwenye jamii kupitia tuzo za Chaguo la Mtumiaji Afrika. Diana ambaye ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa tuzo hizo maarufu Consumer Choice Awards...
  2. milele amina

    Tetesi: Chuo Kikuu cha Nairobi kinatarajia kumtunukia Freeman Mbowe Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Siasa na demokrasia

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe limekuwa likijulikana sana, hususan kutokana na mchango wake katika kuendeleza demokrasia na haki za binadamu nchini. Hata hivyo, licha ya mchango huu, vyuo vikuu nchini havijachukua hatua ya kumpatia Mbowe Shahada ya Udaktari wa...
  3. ChoiceVariable

    Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia atunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi-4R. https://youtu.be/k_A0yON0ZXg?feature=shared Rais wa Jamhuri...
  6. Father of All

    Nyerere, Mwinyi na Mkapa walipewa udaktari wa heshima lakini hawakutumia kunani hawa wanaoutumia?

    Ni kawaida kwa marais wa Kiafrika kupewa udaktari wa heshima japo ni nadra kwa marais wa nchi za magharibi. ingawa rais Barak Obama anaweza kuvunja rekodi ya kuzipokea lakini asijiite dokta hata mara moja. Je, ni kwanini? Je ni ile hali ya kutaka sifa, kutojiamini, kupenda ujiko bila kuusotea...
  7. BARD AI

    Mizengo Pinda adai Sheikh Alhad Mussa anastahili Udaktari wa Heshima

    Wakati kukiwa na mjadala kuhusu utolewaji wa shahada za udaktrari wa falsafa wa heshima (PhD), Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ametetea shahada kama hiyo aliyopewa Mwenyekiti kamati ya maridhiano Sheikh Alhadi Mussa Salum, akisema anastahili kuwa nayo. Alhadi Mussa Salum aliyekuwa Sheikh mkuu...
  8. Makonyeza

    Dakika 40 kumjadili Babu Tale ni matumizi mabaya ya nafasi za ubunge

    Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya. Taifa letu lina matatizo mengi sana ambayo yanahitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi na wawakilishi wetu pale penye mkusanyiko wetu wa...
  9. saidoo25

    Mbunge Katani: Mwigulu anadharau udaktari wa heshima

    Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya. Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa...
  10. Vmatongo

    Lini Vyuo Vikuu vya Tanzania vitafikiria kumpa Udaktari wa Heshima Freeman Mbowe?

    Najaribu kufikiri kwa kina nakujiuliza kwa nini vyuo vikuu vya nchi yetu havimpi Udaktari wa heshima kiongozi wa upinzani nchini kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kujenga upinzani. Mbowe anastahili heshima hiyo ukifanya fair analysis kule alikokitoa chama cha Chadema na alipokifikisha anastahili...
Back
Top Bottom