udaku

  1. Viongozi kaskazini ya Israel wasema wanakatisha mawasilano na serikali.Hawataki tena udaku.

    Viongozi wa mabaraza ya miji ya kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wamesema wameamua kukatisha mawasilano na serikali baada ya kuwatelekeza kwa zaidi ya miezi 10. Wamesema hawataki tena kupigiwa simu wala kutumiwa ujumbe baada ya serikali kuwadanganya kwa muda mrefu na kushindwa kuzuia...
  2. Wabongo wanapiga pesa YOUTUBE

    Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin ! Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
  3. Watanzania ni Watu wanaopenda habari za Uzushi, Conspiracy theories na udaku

    Kwema Wakuu! Jadili Chozi la CDF Mstaafu Mabeyo litolee ufafanuzi kana kwamba unajua alichokuwa anafikiri. Fafanua na elezea tabasamu na kila cheki lake na maana iliyojificha. Kwa kina onyesha jinsi body language yake inavyokinzana na anachozungumzia, hakikisha unaeleza uongo mtamumtamu...
  4. Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  5. Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  6. R

    Ripoti ya CAG imezimwa kama gazeti la udaku. This is Tanzania Bana, unaiba Leo unaambiwa subiri tutakujadili kikao kijacho cha Bunge

    Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana. Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...
  7. Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

    Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu. Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu...
  8. Tusikwame kwenye udaku pekee

    SI UDAKU PEKEE… Mbali ya sifa ya kupenda habari za udaku ambazo huwafanya wabongo wengi kukesha mitandaoni, kuna upande wa pili wa wabongo ambao wanayoyajadili mtandaoni hayana kabisa uhusiano na wale wa kundi la udaku. UTASUUZIKA NA MOYO YAKO UKIWASIKILIZA. Na hasa kama huna ile hulka hasi ya...
  9. Diva achana na Udaku, haukufai

    Shoga kidawa toka afukuzwe kazi clouds basi anajifanya kajiajiri mwenyewe, madai anafanya gossip news , news zenyewe ana Copy paste trend news za Instagram ndo anapachika kwake, yani mpaka namuonea huruma. Inshort Diva umbea haumfai kabisa sio kipaji chake yani, huwa ananichekeshaga sana...
  10. D

    Kumbe dawa ya magazeti ya udaku ni Ukuda. Kwa mara ya kwanza hawakuweka udaku juu ya msiba wa Mkapa. Pongezi Mwakyembe

    Kwa mara ya kwanza msiba mzito umeisha salama bila kuwepo na habari za udaku. Tulizoea huko nyuma magazeti mengi yalizoea kufanya udaku kwa kukuza story ili yauze nakala nyingi hususani kwenye misiba ya watu mashuhuri! Ingekuwa zamani msiba wa mkapa usingeisha salama bila habari za magazeti...
  11. U

    NEW Video: Rosa Ree - Kupoa {Official Video}

    Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
  12. Watanzania: Udaku na Nadharia za Njama

    Naona kama kuna idadi kubwa sana ya watanzania wanaopenda vitu hivyo, yaani Udaku (habari za kuhusu mambo ya watu wengine) na Nadharia za Njama (kuwa kuna jambo la njama linafichwa na serikali au taasisi yoyote). Ukitaka kula hela ya watanzania, jikite katika biashara ya kuuza udaku na nadharia...
  13. Habari ya Dr. Shika Daily News: Dear Daily News, you are a broadsheet and not a tabloid!, habari za udaku, umbeya na udhalilishaji waachieni Tabloids!

    Wanabodi, Kupitia bandiko hili, imeripotiwa kuwa gazeti serious la serikali, The Daily News, ameripoti habari hii ya Dr. Shika https://www.jamiiforums.com/threads/bilionea-dr-shika-hana-sehemu-ya-kulala-analala-kituo-cha-magari-mnazi-mmoja-dar.1645086/#post-33317174 Imeripotiwa in a form of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…