Miaka ya nyuma kidogo Mkoani Tabora kuna Mwanasiasa aliyekuwa akigombea Ubunge aliwahi kufunga TV kubwa Pale soko maarufu kwa jina la Soko kuu.
Aliifunga wakati wa kuelekea kampeni za uchaguzi akalipia na king'amuzi watu wakawa wanatazama mechi bure ikiwemo na kulipia kahawa na kashata watu...