Ni ukweli ulio wazi kuwa UDART maarufu kama mabasi ya mwendokasi imeshindwa kutoa huduma kwa watu na yenyewe imekuwa ikijitetea kuwa haina mabasi ya kutosha kwa sasa.
Kwa sasa wananchi wanapata adha kubwa ya usafiri kiasi ukipita asubuhi vituo vya mwendokasi vimejaa abiria ambao husubiri...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kuhakikisha ifikapo Desemba 2024, mabasi ya mwendokasi yanayotakiwa katika barabara ya Morogoro na ya...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi ) Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka ,Dar es Salaam (DART) kutoa fursa kwa watanzania wenye uwezo kuwekeza katika mradi huo ili kupunguza changamoto na kero zinazolalamikiwa hasa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilaya ya Temeke imebaini kuwa baadhi ya Watumishi wa Wakala wa Mabasi Yaendao Haraka (UDART) waliingia makubaliano batili na Watendaji wa Kampuni ya Sahara African Beauty kwa ajili ya kujenga jengo la kudumu lenye vyumba 60 kinyume na Sheria...
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.
Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024...
Mimi ni mdau na mwananchi nayepanda usafiri wa Udart.
Mwezi huu wa June nimeshuhudia wezi wanne kukamatwa na watu zaidi ya 30 kulalamika kuibiwa simu na pesa wakati wa kugombania mwendokasi hasa hasa vituo vya kivukoni na Gerezani na Manzese ambapo nimeshuhudia watu wakikamatwa katika vituo...
Tukikumbuka ahadi za wanasiasa na siasa zao uhsusani kipindi hiki cha uchaguzi tunamalizia ni watu wale wale na mambo yale yale. Nakumbuka wakati ule waziri kama sikosei Bashungwa alipiga mpaka ziara katika mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam. Ukiwa mgeni unaweza fikiri wako serious kumbe...
Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?”
Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...
Salaam,
Hakika ukitaka kusafiri jioni kuelekea kimara kuanzia saa 11 na kuendelea kupitia Mwendokasi ujipange kisaikolojia, ukikata tickets kwenye vituo huwa hawakuambii hali ya usafiri ipoje, ukiingia kusubiria basi ndio kasheshe huanzia hapo.
Jana kwenye kituo cha magomeni mapipa...
Maofisa watendaji wakuu wa taasisi yoyote ile ni maofisa waaandamizi kabisa wa kampuni au taasisi yoyote ya umma.
Kwa miaka mingi kumekuwepo na teuzi na tenguatengua za watendaji wa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali jambo linoonyesha kuwa kuna tatizo kwani taasisi hizo ama zimeitia...
Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira.
Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
Nimesikitika tena nimesikitika sana nilipoona clip ikionyesha jinsi mabus ya UDART yalivyoachwa hovyo yakizama kwenye matope kwenye karakana ya UDART kisa uharibifu wa gearbox. Mhe. Waziri Mkuu anagomba kwa uchungu lakini wapi.
UDART unaongozwa na PhD holder aliyetoka TRA na anayejua jinsi ya...
Huu mradi umekua kero mpaka inatia hasira kuuzungumzia. Yani magari bado hayatoshi na hata hayo machache yaliyopp mengi ni mabovu. Yani unafika pale gerezani foleni kila mahali na kuna magari zaidi ya 20 yamepaki. Sasa unajiuliza nani huyo anayekula hii nchi asiyeguswa? Nani huyo ambaye...
Unavailable wazungu si ndio badi kuweni na utu. Jambo moja msilolijua nchi za mabepali, wanatufanyia ubepali wageni. Lkn kwa raia wao wanafanya welfare huduma kwa wananchi. Istoshe hata sie wageni tunapoingia mataifa haya tunaona.
Tiketi ya mkato mmoja itumike kwa masaa kwann nikate kila mara...
Upamde wa mashtaka unatarajia kuita mashahidi 26 na vielelezo 82 katika kesi inayowakabili wakurugenzi watatu wa Kampuni ya Huduma za Usafirishaji wa Mabasi yaendayo Haraka (UDART) akiwemo Robert Kisena.
Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 25 yakiwemo ya wizi, kutakatisha fedha na...
Samahani Leo nimeamka sio poa!
Unafika kivukoni mabasi sita yamepaki mnasubiriwa mjazane dakika ishirini nzima mmekaa tu mmejaa hasira Kali eti mnasubiri bus na mnayaona yamepaki hatimae ghafla wanaachia basi moja la kimara wote mnakimbilia spidi kali kupanda kama wanyama pori manyumbu wengine...
Siku za hivi karibuni hawa watu wa mabasi yaendayo Kasi(UDART) Wameanza wizi wa wazi wazi. Ukienda kukatq ticket halafu ukatoa hela kubwa zaidi ya gharama ya ticket yako wanakuambia uwaongezee 150 au 200 ndipo upewe change yako. Kama huna itabidi wakusubirishe. Na kama una haraka zako utachukua...
Udart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa.
Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona udart wameshindwa mwendokasi.
Yani unajenga barabara unamuita Mchina aje kuweka mabus abebe faida...
Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi.
Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.