udart

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kero: Wafanyakazi wa UDART kituo cha Kimara mwisho muache kukwaruzana na wateja (wasafiri)

    Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
  2. UDART umefika muda sasa mtenge mabasi kwa ajili ya wanafunzi pekee

    Nimekuwa nikiona hawa wanafunzi wanapo pandaga haya mabasi kuna kuwa na kabuguza fulani hasa hasa vile kituo cha kivukoni, Nyerere square, Kisutu, Fire na Magomeni Mapipa wanafunzi huwa na fujo za kusukumana punde wapandapo mabasi haya kiukweli huwa ni kero kubwaa sanaa, sasa Juzi pale...
  3. T

    UDART acheni kubweteka! Mnatoa huduma za usafiri kwa kuringa sana. Serikali iruhusu makampuni binafsi waingize mabasi ili kuchochea ushindani

    Kampuni ya usafirishaji katika jiji la Dar-es-Salaam (UDART) maarufu kama mwendokasi inatakiwa ijitathmini utendaji wake mara moja kwani huduma ya usafiri wa mabasi haya ni kero kwa wananchi. Madereva wakifika katika vituo vyao vikubwa (terminal) badala ya kupakia abiria waliojazana kwenye...
  4. Nani Kairudisha CT Security, UDART (MwendoKasi)?

    Hii kampuni iliwahi kuhudumu kwenye mradi wa Mwendokasi kipindi fulani na baadae kupewa kazi hiyo Suma JKT. Sasa inaonekana kampuni hiyo imerudi tena ulingoni. 1. Je, nini kilifanya iondolewe mwanzo na sasa kurudishwa? 2. Ina maslahi gani na kampuni ya UDART? Au mmiliki/wamiliki wake ni nani...
  5. J

    Dkt. Mhede amefanya nini mwendokasi tangu ateuliwe?

    Naomba kujuzwa wanabodi yule Dkt. Mhede aliyepelekwa kule Mwendokasi ameshafanya nini cha maana katika mradi ule? Maana nakumbuka kuna mtu alitumbuliwa pale.
  6. I

    UDART vipi mnasitisha huduma saa nne usiku stendi ya Mbezi?

    Jana abiria tuliotoka mikoani tulioshuka mida ya saa nne usiku pale stendi kuu ya Magufuli tulipigwa na butwaa pale usafiri tulioutegemea kututoa huko kutusogeza mjini ukikosekana! Tulitoka stendi ya Magufuli tukajikongoja na mizigo na wengine wakiwa na watoto wadogo kufika mbezi stendi...
  7. K

    UDART iendeshwe na kampuni binafsi za uendeshaji (Management companies)

    Mimi nashangaa kuendelea kuchagua wanasiasa kuendesha mashirika kama haya. Ushauri wangu ni kutangezwe zabuni maalumu za uendeshaji tu. 1. Kila kampuni ije na mpango wake wa miaka mitano. 2. Jinsi ya kulipwa iwe kutokana na faida. 3. Mradi unatakiwa kujiendesha wenyewe na kutenga pesa kila...
  8. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
  9. Awamu ya Tano iliua UDART, hili tuliseme wazi si kumung'unya maneno

    Uache siasa za changa la macho, Serikali ya JPM ndiyo imeua utendaji wa UDART. Barabara za UDART kweli ni mali ya serikali lakini mradi wa mabasi mwendo kasi ulikuwa toka mwanzo ni mradi binafsi (private investment) uliowekezwa na mtanzania, Nd Kisenha. Serikali ilifanya kila njia kumnyima...
  10. Biashara ya mabasi ya mwendokasi (UDART) ikadhibiwe Sekta Binafsi kabla haijafia mikononi mwa Serikali na kuitia aibu kubwa

    Waziri mkuu wa JMT leo ametembelea biashara ya UDART katika eneo la Gerezani amekuta mfumo wa kutoa tiketi na kuhakiki wa kielektroniki hautumiki badala yake tiketi zinaprintiwa, zinawekwa pembeni, abiria akigaiwa tiketi hakuna uthibitisho kama ni ya serikali kweli au za wajanja nje ya Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…