Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepata taarifa kupitia mitandao ya kijamii na taarifa maalum kwa Umma kutoka kwa Jeshi la Polisi Tanzania juu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha mwanamke anayesemekana anaishi eneo la Yombo Dovya Jijini Dar es Salaam akifanyiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi...
Mitandao ya kijamii ipo kwa ajili ya kuwaleta watu Pamoja kwa namna moja ama nyingine, kubadilishana mawazo na kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa jamii na kwa haraka Zaidi, lakini mitandao ya kijamii imegeuka kuwa sehemu ya kushambulia utu na mwanamke kwa ujumla na kufanya wanawake kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.