Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
Tunatakiwa kujiuliza kwanini nchi inapotaka kufanya maandamano ya amani na ku express hisia za wananchi, CCM huwa inahaha kuhakikisha hilo jambo halitokei, kuna nini? Shida ni nini?
Je ni mkate wenye siagi nyingi utapotea?
CCM na serikali yake inalazimisha umma kuamini nchi inaamani, uhalisia...
Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
Nina mada mbili leo acha niziseme tu maana binafsi zinanikwaza sana na kunifanya nione dunia imejaa maadui na watu wabaya.
Tumekuwa na kawaida ya kutoa lawama na kashfa kwa serikali, lakini Watanzania naomba tukumbuke kuwa waliokaa kwenye uwongozi ni sisi hao hao Watanzania
Tamaa ya fedha...
Katika kijiji kiitwacho Utawala Bora, watu walikuwa wakiishi katika hali iliojawa na machafuko, utata, na kutoridhika. Rushwa ilitawala, hali ya kutokuwa na usawa ilikithiri na sauti za watu hazikusikika (wananchi). Hatahivyo, katikati ya machafuko hayo, mwangaza wa matumaini ulijitokeza...
Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!!
Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..!
Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
Viongozi na watawala wakijitahidi kufanya haki, uadilifu na usawa, wanaharakati watakosa kazi ya kufanya.
Wanaharakati ajira yao kubwa inayowakalisha mjini ni udhalimu unaofanywa na viongozi au watawala.
Ukiona hali ya hewa ipo kimya na wanaharakati hawana cha kusema, basi ujue viongozi...
Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka.
Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka.
Kwani watu walioacha kazi jeshi la wananchi yaani JWTz kuomba kazi ya kumlinda mtu ni kosa?
Hii...
MITAGATO AMTUMIA WARAKA ASKOFU, AELEZA JINSI ALIVYOSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA SIKU 11 PASIPO KUFUNGULIWA MASHTAKA MAHAKAMANI
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Nashukuru kushiriki kunipazia sauti uliposikia kuwa nilikuwa nimechukuliwa na Jeshi la Polisi. Mimi ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya...
Wapinzani kukutana na Rais nikubariki adhabu inayotolewa na watawala dhidi wa wananchi. Naaamini wapinzani wanapofanya siasa bila kuweka mashirikiano na utawala uliopo wanakuwa na nguvu kubwa yakuikosoa serikali na kuwasemea wananchi kuliko kwenda kupeana mikono kusiko kuwa na tija kwa Taifa...
Wanabodi,
Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.