udhamini ligi kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwasasa zile kelele za GSM anaharibu ligi kutoka Simba hazisikiki tena !

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane MOJA KWA MOJA KWA MAKOLO Kwasasa zile kelele za "GSM anaharibu ligi" hazisikiki kabisa! Kwasasa Makolokwinyo wamehamia kwenye mjadala wa kizushi na Kishambenga kutoka Kwa muhasisi wa mjadala huo Jemedari Said! Hata wale wazee washinda njaa pale Bunju...
  2. SI KWELI DP World kudhamini Ligi Kuu ya Tanzania Bara

    Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa mtandaoni zikiihusisha Kampuni ya DP World kudhamini Ligi Kuu ya Soka la Wanaume Nchini Tanzania. Taarifa hizi zililipotiwa pia Juni 24, 2023 kwenye Jukwaa la JamiiForums ambapo baadhi ya madai ilikuwa ni uwepo wa mpango wa TFF kuachana na wadhamini wa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…