Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana.
Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30 mfululizo msiposhtuka, alikuwa na maana yake kubwa, kwamba kwa mikakati waliyoiweka kwenye timu...
Wakuu kwema!
Kama tunavyofahamu hapa jukwaani kumekuwa na mijadala tofauti tofauti kuhusu udhamini wa GSM na vilabu zaidi ya 7 kwenye Ligi ya NBC. Ambapo kuna wadau wa soka wanasema hii si nzuri na inawabeba Yanga zaidi kwa kuzingatia GSM ni Yanga na ni Mwanachama wa klabu hiyo. Lakini Pia ni...
Naanza kupata mashaka. Inawezekana Simba nayo inadhaminiwa na makampuni ya GSM kimya kimya. Kwanini kila wakicheza na Yanga wanafungwa? Hii ni mara ya nne mfululizo hawapati matokeo.
Nasema hivi kwa sababu imejengeka dhana kwamba timu zote zinazofanya biashara na GSM zinagawa points kwa Yanga...
Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM
Sasa wao kila mechi kipigo
Wao watwambie kama GSM ashaanza kuwadhamini
Tengenezeni timu
Acha kulia
Leo mnalia refa
Mara kipa Camara kauza mechi
Zile 5 mlisema...
Timu zote kuanzia Yanga, Dodoma, Coastal, Namungo, Pamba, Singida, Tanzania Prisons nao sijui wapo katika udhamini kila zinapocheza na Simba ngoma inakuwa ngumu sana.
Hawa Coastal wachovu nao eti wamedinda, sio wao ni wale wauza magodoro mipango yao imefanikiwa leo na itaendelea kufanikiwa...
Ligi zote duniani huwa zinaendeshwa kwa sheria na taaribu ambazo zimejiwekea hasa ikija upande wa wadhamini wa Timu .
Ligi nyingi mdhamini mmoja hawezi kuwa mdhamini mkuu wa timu zaidi ya moja kwenye ligi na mara nyingi unakuta mdhamini anaedhamini timu zaidi ya moja ni upande wa Jezi tu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.