Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February...
A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani was form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18. baada ya hapo nilitokewa na matatizo ya kiafya ambayo yalinifanya nishindwe kuendelea na masomo ya advance kwa kipindi Cha miaka...
🎓NAFASI ZA SCHOLARSHIPS KWA VIJANA WA AFRICA(TANZANIA) KUTOKA MASTERCARD FOUNDATION.
📌WANAHITAJIKA WENYE KUSOMEA FACULTIES HIZI HAPA CHINI:-
▪Faculty of Economic and Management Sciences
▪Faculty of Humanities
▪Faculty of Engineering
▪Faculty of Natural and Agricultural Sciences
💰KATIKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.