Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi wala mtumiaji mirungi amekosa mirungi.
Nini hasa kifanyike kufanya hizi jitihada ziwe na matokeo...