IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Afrika zinazokopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao.
Hii shinikizo iko kwenye nchi nyingi ikiwemo Kenya, ila cha ajabu Tanzania sijawai liona hili na badala yake Serikali ndio kwanza...