Habali wana JF,
Natumai mu wazima wa afya. Ningependa kufahamu katika swala zima la kusimamisha swallah, je ina umuhimu kufanya udhu kila unaposwali?
Kwa mfano ukafanya idhu na kusimamisha swala ya fajr, je utahitajika tena kufanya udhu kwa swala zijazo, na vp kama sehemu iliyopo sio rafiki...