Jambo Jambo?
Katika Tasnia nzima ya habari(upande wa luninga na redio) huwa nafurahishwa sana na hawa vijana wawili wakitokea stesheni ya STAR TV, Huwa wana udhubutu wa kuuliza maswali magumu kwa wanasiasa wa nchii hii hususani wenye madaraka.
Nakumbuka mwenyekiti wa CCM mwanza alipigwa...