udiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 CCM Ruvuma yahimiza demokrasia kwenye nafasi za wagombea udiwani na ubunge

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani. Lengo ni kuwarudisha madarakani wagombea wanaopendwa na wananchi, lakini kwa kufuata miongozo ya...
  2. M

    Pre GE2025 CHADEMA ielekeze nguvu kwenye Udiwani na Ubunge, Urais bado

    Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi ya siasa na masuala ya kiuchaguzi siioni nafasi yao katika kushinda Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 ACT, CHADEMA, CHAUMMA, CUF na NCCR- Mageuzi kuungana kuikabili CCM

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 CCM Iringa: Watiania wanaojipitisha majimboni kabla ya muda waambieni tutawafyeka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa vijijini kupitia kwa Katibu wake Sure Mwasanguti wametoa onyo kali na la mwisho kwa baadhi ya watia Nia wa nafasi ya Udiwani na Ubunge wanaojipitisha katika Kata na Majimbo na kujitangaza na kuomba ushawishi kwa wajumbe kabla ya muda kutangazwa...
  5. The Watchman

    Pre GE2025 UVCCM Lindi: Vijana acheni kuwa madalali wa wagombea, wanaofanya kampeni kampeni kabla ya muda kukiona

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani. Akizungumza na KITENGE TV Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo mkoa wa Lindi, Patrick Magarinja alisema kuwa...
  6. Apollo tyres

    Tetesi: Dr Bashiru kugombea udiwani kata ya Kanazi, Bukoba vijijini.

    Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi. Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
  7. R

    Kwanini watia nia nafasi ya Urais wanaruhusiwa kuonyesha nia zao mapema lakini wagombea ubunge na udiwani wanaonekana kama wanatenda jinai ?

    Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao? Hali hii ipo kwenye vyama vyote vya siasa nchini na ukanda wa Afrika. Mfano kwa sasa mgombea Urais au mtia nia ACT...
  8. J

    Uchaguzi 2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

    ..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
  9. L

    Nape na Janu hawatapata hata udiwani mwaka 2025, Mwigulu endelea kuwa makini!

    Dkt. Mwigulu wewe unatakiwa kucheza vizuri tu na watu wako ambao wanasemwa semwa kuwania ubunge jimboni Iramba, usijaribu kumpuuza Prof. Kitila Mkumbo na Gwajima pia. Wapo kadhaa na wengine wameshajitambulisha mpaka level ya kitaifa chamani. Sitawataja hapa lakini jua wapo na ni watu smart kweli...
  10. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  11. BARD AI

    CCM yashinda Udiwani Kata ya Kasingirima, ACT Wazalendo wadai kulikuwa na Kura Feki

    Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Kata ya Kasingirima, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantumu Mgonja amemtangaza Mlekwa Kigeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika uchaguzi huo kwa kupata kura 437 dhidi ya mshindani wake wa ACT-Wazalendo, Alumbula Khalidi aliyepata kura 233...
  12. zitto junior

    Mpanda: Aliyeporwa udiwani amwaga machozi mbele ya Mbowe

    Katika ziara ya Chadema (Operation +255) huko mpanda, Kuna tukio limeniacha na majonzi sana. Mgombea udiwani wa Chadema 2020, mwanamama shupavu alimwaga chozi akikumbuka ukatili wa JPM. Mgombea huyu aliwekewa pingamizi so hakufanya kampeni muda mrefu, kama haitoshi aliposhinda udiwani (Fomu za...
  13. Nguruka

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yateua watatu viti maalum vya udiwani

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imefanya uteuzi wa Madiwani watatu (3) Wanawake wa viti maalum kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika Halmashauri tatu za Tanzania bara. Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 86A (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 kikisomwa...
  14. F

    Atakaekiri 2025 awe kutoka CCM au Upinzani kutenda kama Hayati Magufuli atajihakikishia ushindi kwenye udiwani na Ubunge lakini kwenye Urais ni Samia

    Kuna kijisauti nakisikia na kinaniambia niwafikishie sauti hiyo wote wenye kutamani Udiwani na Ubunge wawe ni kutoka CCM au Upinzani. Sauti inaniambia na imenihakikishia mambo makubwa matatu: Jambo la kwanza, Mwaka 2025 Rais ni Samia na ushindi wake utaonekana 2024 kuelekea 2025 na kuna mambo...
  15. Idugunde

    CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

    Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?. Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo. Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
  16. Lycaon pictus

    Nafasi zote za kuchaguliwa kama Ubunge na Udiwani ziwe na ukomo

    Kama ulivyo Urais, nafasi hizi nazo ziwe na ukomo. Hakuna sababu ya msingi mtu mmoja kuwa mbunge miaka 20. Na jambo hili wasipewe bunge kuamua. kuna wabunge wamechosha kabisa. Mtu amekaa bungeni miaka 20. mawazo yake ni ya enzi za Mkapa huko. yupo tu, "Tunafanyaga hivi."
  17. Erythrocyte

    Mutta Rwakatare avuliwe Udiwani

    Tatizo kubwa sana la CCM ni kuwapa vyeo watoto wa viongozi kama bakhshish , ili kuendeleza na kulinda hujuma walizofanya Wazazi wao za kuitafuna Nchi . Huyu Diwani wa Kawe anayeitwa Mutta ambaye ni mtoto wa Mfadhili wa CCM Marehemu Getrude Lwakatare , hana kipawa cha uongozi , amelazimishwa tu...
Back
Top Bottom