udiwani 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  2. Nipeni mbinu za kujiandaa kugombea Udiwani 2025 Kata ya Mpwayungu

    Sihitaji salamu maana nina hasira sana kuona maisha ya wananchi wenzangu yakiwa duni kutokana na sera mbovu za uongo za chama cha kijani. Nahitaji kuwatumikia wananchi wangu wa Kata ya Mpwayungu kupitia chama cha mioyo ya watu mwaka 2025 kama nitachaguliwa kupeperusha bendera. Naombeni tactics...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…