udom; ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je unaifahamu kozi medical physics?🤔🧐

    Mimi ni mwanafunzi ninayechukua kozi ya bachelor ya fizikia hapa chuo Cha Harvard nchini Tanzania. Nimespecialize kwenye kitengo Cha medical physics. Kwa ufupi medical physicist anafanya kazi katika maeneo tofauti tofauti yanayohusisha mionzi. hospitals -wanasimamia na kuthibiti ubora WA...
  2. Tume ya Ajira, mbona interview za UDOM hamjatoa tangazo kwa website ya PSRS kama zilivyo nyingine?

    kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS . au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…