Wakuu, ni miaka mitatu now tangu nimemaliza huko mavumbini. Infact katika safari ya maisha yangu UDOM ndio sehemu ninayoikumbuka zaidi. Marafiki, routes za town, ujasi, hostel life e.t.c. Sikujua zile shida kama course work, kumiss test, kugombania venues, foleni za kusain book na ada Leo...