Wakuu, mimi ni mkazi wa Tandika Mwembeyanga jijini DSM, mara kadhaa nimewaona wadada na wamama wa huku Tandika wale ambao ni wajawazito wakihaha kutafuta udongo ambao huutumia kama chakula, ningependa kufahamu faida wanazozipata kwa kula udongo huo ambao huuzwa kwenye magenge kadhaa kwenye eneo...