udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. Internship Vacancies – (15 Posts) at UDSM March 2025

    Call for 3-Month Internship Vacancies: Agricultural Supply Chain, Food Supply Chain, and Transportation and Logistics and Related Fields (15 Posts) Background University of Dar es Salaam (UDSM) and the Kuhne Foundation (KF-TZ) have partnered to implement initiatives for a four (4) year SAFA...
  2. T

    Pre GE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

    "Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
  3. Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  4. Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

  5. A

    KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  6. L

    Makampuni ya China yatoa nafasi za ajira zaidi ya 500 kwenye maonesho ya ajira ya Chuo Kikuu cha UDSM

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kikishirikiana na Taasisi ya Confucius, hivi karibuni kiliandaa Maonesho ya tatu ya Ajira kati ya China na Tanzania baada ya maonesho hayo kusita kwa takriban miaka sita kutokana na changamoto kama vile janga la UVIKO-19. Baada ya kurejea kwake sasa maonesho...
  7. Dondoo za masomo ya PhD UDSM

    Napenda kuwasapa salamu rafiki zangu. Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM. Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba bora nikasome Ardhi University kuliko UDSM kwa sababu ya usumbufu. Usumbufu wenyewe ni kwamba...
  8. Mahafali ya 53 UDSM: Wanawake vipanga waongoza kwa ufaulu na kuwabwaga wanaume

    Kutoka UDSM wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo ada. DVP-Academic amewatangaza Wanawake 3 ambao eamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8. Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za...
  9. S

    Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
  10. M

    Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

    Habari wadau. Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake. Kwa kitanda peke yake bei 130,000 Godoro bei 80,000 Meza bei 50,000 Namba ya simu 0754 003 715
  11. VC UDSM na DVC(PFA) mnajua kuwa Watumishi wenu hawajawalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara karibia mwaka sasa.

    VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa. Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana? Hamlipi Watumishi waliochini...
  12. BCom in Accounting at UDSM or BSc in Accounting and Finance at Ardhi University?

    Bachelor of commerce in accounting at udsm vs Bachelor of science in accounting and finance at ardhi university naomba ushauri niende course ipi apo
  13. I

    KUINGILIWA MFUMO WA MATOKEO WA CHUO UDSM NA IFM

    Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa taasisi za elimu. Hili linaweza kudhoofisha uaminifu wa vyuo vikuu na kuathiri vibaya mfumo mzima wa...
  14. M

    Seneti ya UDSM mliliangalia jambo hili wakati wa kupitisha sheria mpya?

    Nimeona andiko moja linalohusu Senate Meeting Held on 6th May 2024. Hili linazungumzia Ada kwa wanafunzi wanaochelewa kumaliza masomo yao kwa wakati. Ada imepanda badala ya 50,000/month za mwanzo hadi malipo ya semester 1 kwa mwanafunzi. Andiko hilo limesainiwa na Boneventure Rutinwa. JE, HIZI...
  15. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Kampuni ya Serikali ya Korea Kusini ya Yulho wakubaliana kuanzisha chuo cha utafiti

    Watanganyoka tunapigwa na kitu kizito. --- Yulho announced on the 12th that its global mining development and trading subsidiary "Yulho Tanzania" has established a joint venture "LOK Mining Company" with a local partner. After securing the right to explore local nickel and graphite mines, LOK...
  16. Pre GE2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  17. HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

    Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO Jumanne, Agosti 13, 2024 Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa...
  18. A

    KERO Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa

    Sasa kuna changamoto imejitokeza hapa chuoni kwetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata mkopo mwaka jana (2023) na ambao waliokata rufaa. Sasa kinachotokea ni kwamba Tawi la CCM Main Campus linawahamasisha na limetoa tangazo kwamba ili mtu upewe mkopo wa...
  19. Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

    Haya mliosoma UDSM wale ambao mnafundishwa na Maprofesa wa Jalapani njooni mbishie huyu mwamba hapa 👇 Bwana huyo kutoka Njombe alikuwa akichangia mjadala wa dira ya Uchumi wa Taifa ya 2050 Pia soma Ofisa biashara atuhumiwa kwa kuikashifu Serikali, Mwenge My Take: Vyuo Vikuu Bora Africa...
  20. Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

    Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…