Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City.
Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2.
Je Man City wafanyeje ili waweze kufuzu?
Mechi ni saa 5:00 usiku
Niaje wanamichezo
Kwakweli kwa siku hizi nimepunguza mno kufuatilia mpira wa ulaya ila kwa mara chache naingiaga soccer 24 kuchungulia matokeo pale naposikia kuna game
Ajabu nimeingia kuchungulia uefa mara kazaa kwenye standings naona msimamo kama wa ligi kuu sio groups tena
Hii ipo vip wakuu...
Huu ni mfumo mpya au format mpya ambao UEFA wameleta ili team ziweze kutana mapema zile nzuri kuongeza idadi ya match na team shiriki zikiongezeka team 4 zaidi toka team 32 mpaka 36.
Uefa kupitia mfumo mpya ambao utakuwa ni league moja ya msimamo(Table standing) team zote 36,yani 1-36 on...
Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Habari za weekend wadau wa soka na wapenzi wa kandanda barani Africa na Tanzania kwa ujumla nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania:–
Leo majira ya saa 4–usiku watakutana muamba ya ulaya kwenye UEFA champions league ambapo Real Madrid atatoana jasho na Borussia Dortmund katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.