Kuanzia Saa Tatu (3) Kamili pale Ofisi Ndogo Lumumba Mwamba na Kiboko ya Wapinzani wote Tanzania hasa CHADEMA na ACT Wazalendo Ndugu Paul Makonda (Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Taifa) atakuwa anatambulishwa kuanza Kazi ya Kuwanyoosha na Kuwaadabisha Wapinzani wote nchini Tanzania.
Hakika...
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.
Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi...
Katika kipindi cha miaka miwili tu yaani kati ya mwaka 2021-2023, idara cha itikadi na uenezi CCM imeongozwa na wafuatao:
1. Humphrey PolePole
2. Shaka Hamdu Shaka
3. Sophia Mjema
4. Paul Makonda
Huwezi ukawa na taasisi imara ya kisiasa halafu ukawa na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi...
Ndugu zangu kipindi hiki cha Mgogoro wa DPW na Serikali ya ccm kilikuwa ni muhimu sana kwa Katibu Uenezi CCM taida kuonesha makeke yake.
Kiukweli ccm na idara hii imepwaya sana.
Tunajua Uzalendo ndani ya ccm kila siku unapungua je ndio sababu hii Idara muhimu kukalia mambo nyeti hivi?
Au mgao...
WanaJf,
SALAAM!
Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.
Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani...
Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi.
CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
Angalia leo hii wanavyosifia na kueneza namna rais Samia anavyopiga kazi
Kuanzia kuongeza mishahara watumishi wa umma, kutimiza mahitaji ya wananchi kama kununua vifaa tiba na madawa. Wanasifia na kulelezea vyema
Sasa sijui ni kwa nini? Au asali imekolea kwa cheamani?
May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama...
Makabidhiano yamefanyika Lumumba.
Hongera shaka kwa kukabidhi ofisi kwa amani, zinazofuata ni picha za makabidhiano ya ofisi.
Hapo ndugu Shaka akitabasamu kwa bashasha bila tashwishwi.
SHAKA HAMDU SHAKA, Mwenezi Mstaafu wa CCM ametupwa nje ya nafasi hiyo na kupewa Mwana Mama Sophia Mjema.
Shaka alikosea nini hadi akatupwa nje ya tuliambiwa mwanzo yeye ni kipenzi sana cha Mama Samia.
Tunaofahamu Makosa ya Shaka hebu tusaidiane tupate uelewa. Maana Katibu Mkuu Chongolo yeye...
Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini.
Tumekuwa likizo ya miaka 7 hivyo tutegemee mengi kutoka upinzani.