Katika eneo hili la Madai ndipo namuunga mkono Mbowe awepo Mpaka akomboe Fedha zote alizoikopesha Chadema
Haiwezekani Chama kikuu Cha Upinzani kiishi kwa kutegemea fadhila za Mwenyekiti
Ndio sababu hata Tundu Lisu hataki kugombea Uenyekiti kwa sababu ya huo mziki wa Deni la Mwenyekiti
Mnyonge...
Hili ndilo naloliano kwa Mbowe kuachilia kitu ambacho umekipigania kwa jasho na Damu tangu ujana ni ngumu
Ni Bora aimiliki Kama kampuni yake BINAFSI ambayo mkurugenzi wake ni wa maisha
Kwa miaka zaidi ya 20 Hakuona sababu ya kuandaa viongozi mwingine kwani bado gharama alizozitumia kwenye chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.