Na Benny Mwaipaja, Kigali, Rwanda
Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) amesema kuwa Serikali imepiga hatua kubwa kuimarisha mifumo ya kuthibiti utakasishaji fedha haramu, ufadhili wa ugaidi, na ufadhili wa silaha za maangamizi...