Ufafanuzi kuhusu Gawio ka TSH. Bilioni 153.9 lililoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali.
Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari...
Maswali chechefu:
1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?
2. Je, Mhe Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa...