Hellow Tanganyika!!
IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema,
Msalipo,semeni hivi:
BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe, "UFALME WAKO UJE", Mapenzi Yako yatimizwe hapa duniani kama huko Mbinguni...
Sasa wanasiasa ukiwagusa...
👉🏾Mafundisho ya Yesu Kristo yalikuwa ufunuo wa kimungu uliojaa upendo, msamaha, na haki, akionyesha muunganiko wa kibinadamu na kimungu. Alibadili mtindo wa uongozi wa wakati wake na kutoa mwanga wa kiroho katika ulimwengu uliojaa dhambi na udhalimu.
👉🏾Kwa kufundisha upendo usio na masharti na...
Ni jioni sasa,nimesima hapa sebuleni kwangu,naangalia nje,mvua inanyesha.Naangalia miti na maua inavyopeperushwa na upepo, ni shwaaaaaaaaa, sauti ya majinya vua, na fyuuuuuuuuuuuuuuuu, sauti ya upepo,nani kwangu ni kimyaaaa kabisa,narudisha macho ndani,nakutana na vitu vya nyumbani, meza, viti...
Ufalme wa Mungu ni tofauti kabisa na mifumo ya Dini na madhehebu. Dini na madhehebu ni Matakwa ya kibinadamu ya kumtafuta Mungu, na mfumo huu kamwe hautakuja kufanikiwa milele wala haujawahi kufanikiwa Tangu mwanzo.
Ufalme wa Mungu ni mfumo wa Maisha mbali na Maisha ya kidini na Dhehebu. Ni...
Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu,
Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole"
Lakini ni wazi kua wa Israel hawamkubali Yesu, jana leo na hata kesho. Je wao ni exceptional katika njia ya ukweli na uzima?
Shalom wanajf ,
Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina .
KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU?
LUKA 17, 20-21
"Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa...
Ukiangalia mitume wale 12,
Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura.
Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake.
Siku ndoa ni kikwazo...
1: Mungu sio masikini. Siku anaumba mtu alimpa vitu vingi akamzuia kimoja. Hii inamaanisha mtu akiwa na katika uwepo wa Mungu atakuwa na vingi na kupungukiwa vichache.
2: Umasikini ni fikra. Mkristo anayejitambua fikra zake ni zakitajiri hata kama hana 100. Maana kuwa mkristo ni unarithi vitu...
“Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia”, Mt 3:2 SUV.
Toba maana yake ni “kugeuka”, kugeuka kutoka katika njia mbaya za uovu na kumgeukia Yesu Kristo, na kwa kupitia yeye, unamgeukia Mungu (Yn 14:1, 6; Mdo 8:22, 26:18).
Uamuzi wa kugeuka kutoka katika dhambi na kugeukia wokovu katika...
TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI
Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma.
Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona ufalme wa Mungu.
1. Maafisa wa TRA
Hawa watu hawana utu kabisa,wao hujiangalia wao tu. Hawafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.