Habarini za muda huu wadau!!
Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.
Je, ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania mwenza wako?
Je, utajishughulisha na mwenzi wako au utajishughulisha na mgoni wako?