Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Dk Said Mohammed.
Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), limesema wanafunzi 2,095 kati ya 2,180 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba uliofanyika kati ya Desemba 21 na 22 mwaka 2022 wamefaulu daraja A hadi C sawa na asilimia 96.1.
Limesema wanafunzi hao kati ya 2,194 waliofutiwa matokeo...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....
Somo tajwa hapo juu lahusika,mkoa wa kagera ktk matokeo ya darasa la Saba 2021 umeporomoka kiasi Cha kukosekana miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vizuri, sii tu kimkoa Bali hâta katika halmashauri 10 bora Hakuna hata moja ya mkoa...
MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA. SHULE 38 ZAFUTIWA MATOKEO KWA UDANGANYIFU
Baraza la Mitihani nchini #Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kuhitimu Elimu ya Msingi ambapo limezifutia matokeo Shule 38 za Msingi kutokana na udanganyifu uliofanyika wakati wa Mitihani hiyo ya Taifa
Shule hizo...
NECTA imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78. Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kufanya udanganyifu
*****
Baraza la Mtihani la Taifa (Necta) limesema...
Baraza la Mitihani NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.96% tofaiti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76%
Dk. Charles Msonde amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu...
Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema watahiniwa 662,035 kati ya 909,950 waliofanya mtihani huo wamefaulu kwa kupata alama 100 au zaidi kati ya alama 250 wanazopaswa kupata.
Dk Msonde amesema kati ya waliofaulu, wasichana ni 341,020 ambao ni sawa na asilimia 70.93 na wavulana ni...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) jana October limetangaza matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba huku ikionesha kuwa UFAULU umepanda kwa asilimia 2.52 kutoka asilimia 67.84 mwaka jana hadi asilimia 70.36, huku wavulana waking’ara katika matokeo hayo...
Katibu wa baraza la mtihani ameyatangaza matokeo ya darasa la saba mwaka huu 2015 kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka 62 hadi 67 asilimia.somo la kiswahili ndo linaloongoza kwa ufaulu huku kiingereza ndo ya mwisho kwa ufaulu.
Soma pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008
Matokeo ya Mtihani wa...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6
Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam leo Novemba 5, 2014 Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani...
Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013.
Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008
Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008
Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2012 yatangazwa rasmi
Wakuu,
Leo tuangalie upande wa shule za Msingi, matokeo kutupa picha ya mwelekeo wa elimu kama unazidi kudorola ama kuna matumaini ya kunyooka.
Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008
Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008
Matokeo ya darasa la saba 2010 shule binafsi zafanya...
SHULE ya kimataifa ya Soutthern Highland Mufindi na Brokebond zafanya vizuri mtihani wa taifa wa darasa la saba mwaka 2010 katika mkoa wa Iringa na kuzipita kwa mbali shule za msingi zinazosimamiwa na serikali huku mapacha walioungana kiwili wili wa Makete wakifanya maajabu makubwa ya ufaulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.