ufaulu kidato cha pili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 4, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Darasa la 4 >>> https://matokeo.necta.go.tz/sfna2022/sfna.htm Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili >>>...
  2. kiwatengu

    NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne 2021

    Salaam! Baraza la Mitihani ya Kitaifa linajiandaa kutangaza matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne ulifanyika mwishoni mwa mwaka 2021 (CSEE). Pamoja na Mtihani wa Upimaji kidato cha Pili (FTNA). Wahitimu wote mkae mkao wa kuvuna kile mlichopanda. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009...
  3. Mayova

    Matokeo ya mtihani wa kidato cha pili 2018(ftna 2018 results ) haya hapa

    Matokeo ya mtihani wa kidato chat pili 2018 yametoka. Gusa link hapo chini kuya fungua. Shule zote ziko hapo https://www.tanzania.go.tz/FTNA-2018/index.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea...
  4. Chachu Ombara

    NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu Januari 8, Katibu Mtendaji wa Necta...
  5. texaz mc

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2016

    Habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha pili niliemaliza mwaka jana. Matokeo yangu yamesema nimefaulu kwa wastani wa B (merit) huku nikipata B+ kwenye BIOLOGY, CHEMISTRY na ENGLISH. Je mnaonaje matokeo yangu Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa...
  6. RUCCI

    NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2015

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha Pili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana, ambapo Wanafunzi 324,068 sawa na asilimia 89% ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2015, wamefaulu mtihani huo. Ufaulu umeshuka kwa masomo ya Uraia, Historia, Jiografia...
  7. Chakupewas

    Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014

    Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014 http://necta.go.tz/matokeo2015/ Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia. National form II Results 2009 aibu
  8. Msambaa mkweli

    Matokeo ya Kidato cha pili-2011

    Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina viwango. Tunahitaji wataalamu makini. Mungu ibariki Tanzania. Soma Pia: National form II Results 2009...
Back
Top Bottom