Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5.
Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye!
Ahsante naomba kuwasilisha!
Ina tija gani?
Halafu ili iwe nini?
Na kwanini?
Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA?
Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi...
ada
elimu bora
elimu gharama
kupangiwa shule
kupangiwa shule za kata
masomo ya juu
shule binafsi
shule bora
shule za kulipia
shule za serikali
ufaulumzuri
Tukija kwenye suala la shuleni, mimi niwe mkweli, Sikuwa na uwezo wa kufundishwa na mwalimu pekee darasani, pia kujisomea ilikuwa taabu, nimeanza kujisomea form 2.
Nashukuru wazazi waliweza kunipigania nisome english medium lakini hii pia isingezaa matunda kama ningeachwa nisome kivyangu...