Muhitimu wa kidato cha sita aliyeshindwa kujiunga na chuo cha ualimu kwa kukosa ada, Bernard Mwakajila ametengeneza ‘A’ 1OO za somo la hisabati katika shule ya Sekondari Kimara iliyopo Wilayni Ubungo mkoani Dar es Salaam.
Mhitimu huyo, anasema aliingia katika shule hiyo kwa lengo la kusaidia...