ufisadi afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa mfano ingekuwa wewe Rais ungedili vipi na Ufisadi na Madawa ya Kulevya.

    Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini. Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara za tanroads kisha kila mwezi NATOA report ya makusanyo na Matumizi.kama taifa tunabaini Lost.
  2. R

    Ni ngumu sana kuwa mzalendo kwenye nchi ambayo "inaliwa" na wenye madaraka!

    Ikifika mahali kila mwananchi anaona kabisa kuwa nchi "inaliwa" na wenye madaraka, ile sense ya uzalendo kwa anayejitambua lazima ife! ndipo tulipofika kwetu hapa! Mtu atajifanya, atahubiri uzalendo kwa vile anaogpa rioting kutoka kwa walalahoi wasije wakawa class conscious wakawadhuru...
  3. Ghana: Waziri wa Fedha adaiwa kukimbia nchi kwa tuhuma za rushwa. Ofisi ya mwendesha mashtaka inamsaka kumpeleka mahakamani

    Wakuu, Namsalimu Mwigulu Nchemba kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee =============================== Huko nchini Ghana aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Ken Ofori-Atta, anatafutwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Maalum ili ajibu tuhuma za rushwa. Tangazo hilo...
  4. Gavana wa zamani wa Kenya ahukumiwa miaka 12 jela kwa tuhuma za ufisadi na ubadhirifu pindi akiwa kiongozi!

    Aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Kiambu, Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela ama kulipa faini ya kiasi cha Sh1.08 bilioni (Ksh53.8 milioni) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya ufisadi na utoaji zabuni ya barabara yenye thamani ya zaidi ya Sh11 bilioni (Ksh588 milioni). Akisoma...
  5. Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

    Wakuu, Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada. Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini...
  6. Rushwa na ufisadi bado vimekithiri katika nchi nyingi za Afrika licha ya jitihada zinazofanyika kuikomesha

    Suala la rushwa na ufisadi ni mambo linalosumbua duniani kote. Rushwa inatikisa katika mataifa mengi ulimwenguni yaliyoendelea na yasiyoendelea na ushahidi unaonyesha kuwa rushwa inaumiza watu maskini kupita kiasi. Kwa mujibu wa makala iliyotolewa katika tovuti rasmi ya Serikali ya Afrika ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…