Ripoti hii ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu huko nchini Kenya imebaini dosari kubwa za kifedha katika ajenda ya Rais Wiilliam Ruto ya "Hustlers Fund"
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka wa fedha 2023/2024, Hustler Fund imetoa hadi KSh 31 milioni (Tshs Milioni 628) kwa jumla ya wateja 253,717...
Wakuu,
Unaweza kudhani kuwa nchi kubwa kama China, masuala ya rushwa yangekuwa yameshaisha lakini mambo bado yanatokota.
Hivi karibuni baadhi ya maafisa wa Marekani wameliambia gazeti la Financial Times kwamba Waziri wa Ulinzi wa China Dong Jun yupo kwenye Uchunguzi mzito kufuatia madai ya...
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea...
Rais wa zamani wa Peru mwenye umri wa miaka 78, Alejandro Toledo amehuhukumiwa hapo jana miaka 20 na miezi sita jela kwa kosa la kula rushwa.
Hukumu hiyo ni kutokana na kashfa ya ufisadi inayoihusisha kampuni kubwa ya ujenzi ya Brazil, Odebrecht. Mahakama katika mji mkuu wa Lima imegundua kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.