Rais wa zamani wa Peru mwenye umri wa miaka 78, Alejandro Toledo amehuhukumiwa hapo jana miaka 20 na miezi sita jela kwa kosa la kula rushwa.
Hukumu hiyo ni kutokana na kashfa ya ufisadi inayoihusisha kampuni kubwa ya ujenzi ya Brazil, Odebrecht. Mahakama katika mji mkuu wa Lima imegundua kuwa...