Unatarajia mtu aliyelelewa katika mazingira ya ubinafsi kuanzia nyumbani hadi shuleni atakuwa na tabia gani kama siyo ubinafsi mtupu?
Fikiri, alipokuwa mtoto, aliaminishwa kuwa nyama nzuri kama paja la kuku ni mahsusi kwa ajili ya baba. Anaweza akajenga matumaini kuwa naye atakapokuwa mkubwa...
Athari za ufisadi nchini Tanzania zinaathiri maeneo mbalimbali ya jamii na uchumi. Hapa kuna baadhi ya athari kuu:
1. Kupoteza Rasilimali za Umma:
- Mapato ya Serikali: Ufisiadi husababisha upotevu wa mapato ya serikali kupitia ulaji wa fedha zinazotokana na kodi na rasilimali za umma.
-...
Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake.
Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa, najua ipo siku nitakufa kwanini niogope kifo wakati huyo atakayenishoot na yeye ipo siku atakufa pia?
Tunaona serikali inatuibia, tuzinduke usingizini tunaibiwa na wakufanya hii hali ipotee...
Kigogo huyo alikuwa anashitakiwa Kwa kosa la kuwa na Mali ambazo Hazina maelezo karibia Bilioni 4.
Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa.
My Take
Mwenye pesa hajawahi fungwa hapa Tanzania labda Gen-Z waje wajitoe ufahamu ndio heshima itakuja.
====...
Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania?
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo, suala la vyama vingi limekuwa na mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa mfumo huu...
Haya yalikuwa maongezi murua.
Ilikuwa mwaka 2004, pale Ethiopia na huyo rafiki yangu ambae alifika pale kuwekeza kwenye maji hasa maeneo makame.
Katika story tuligusia jinsi viongozi wakuu wa Afrika wasivo na weledi kwa kuiba mabilioni ya wananchi wao na kuwekeza nje ya mataifa yao.
Tukafikia...
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji..
Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais...
Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli tena.
Kijana ana ukwasi wa kutisha sana ndani ya miaka mitatu tu hii.
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?
Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS 36.3 Bilion na Kampuni ya Sinohdro Engineering ya china bila zabuni kutangazwa , Mkataba Ulisainiwa...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na Mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na Katibu wa CCM ni cha kijasiri mno na upekee wa...
KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI?
Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza.
Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
baada
bado
dini
kuliko
masikini
matumizi mabaya ya madaraka
miaka
rasilimali tanzaniatanzaniaufisaditanzania
uhuru
umasikini tanzania
usomi
wakristo
wao
wapi
wasomi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.