Maisha yamekuwa magumu nchi inatafunwa, hakuna kinachofanyika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi. Fedha zinakopwa kwa ajiri ya miradi zinaishia kwenye mifuko ya wanasiasa. Kazi yao nikusema wanajenga nchi huku hakuna kitu kama hicho.
Wanajenga mifumo ya kutengeneza watoto wao kuishi maisha...