Kama utatueleza ulitumiaje Fedha za Mfuko wa Jimbo la Iringa Mjini kwa miaka 10 mfululizo uliyokaa bungeni tutakuelewa sana
Ritha Kabati Semwamoto ni Mbunge wa Viti Maalum ulikuwa naye Bungeni hana Fedha za Jimbo lakini kazi alizofanya kama mbunge wa Viti Maalum Iringa zinaonekana
Wewe je...
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà.
Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu...