ufisadi wazara ya kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu. Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 18, 2024 Dk Tulia amesema kuwa Mpina amedharau mamlaka ya Spika na Bunge...
  2. Tanzania tunapaswa kuwa na sheria kali dhidi ya viongozi mafisadi na wala rushwa

    Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi ambayo ufisadi unaozidi mabilion adhabu yake ni kifo. Kwamba kesi za namna hiyo sheria itaweka wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…