ufisadi wizara ya kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Rais Samia ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika ili uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi uweze kufanywa na Vyama vya Ushirika. Rais Samia ametoa agizo hilo leo katika kikao na...
  2. Cute Wife

    Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

    Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge. Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge...
  3. Cute Wife

    Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

    Wakuu, Luhaga Mpina alipewa adhabu na Bunge Juni 24, 2024 baada ya kwenda kinyume kwa kuwasilisha taarifa yake kwa wananchi mara baada ya kuikabidhi katika Kamaati ya Bunge. Zaidi soma - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15 Usiku huu tukio linarushwa...
  4. Cute Wife

    Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Spika Tulia anataka kuzuia kilichoibuliwa na Mpina kisijadiliwe na bunge wala wananchi, aache mijadala ifanyike

    Katika mahojiano yake na mwandishi wa Habari Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Joseph Selaasini amesema; "Mpina aliliona hili, sababu alikuwa akipata upinzani wakati anaongelea suala hili bungeni, sio tu kutoka kwa spika bali hata kutoka kwa wabunge wenzake. Kwa maslahi ya nchi aliona alipeleke...
  5. T

    Nani ni genius kati ya Mpina vs Bashe au Tulia vs Mpina

    Naomba tutafakari nani genius kati ya hawa; Mh. Mpina vs Mh. Bashe Au kati ya; Mh. Tulia vs Mh. Mpina. Uwanja upo wazi. Pesa mbaya! ==== Pia soma: Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge...
  6. Mtuflani Official

    Je, Data za Hotuba za Viongozi huwa zinapikwa?

    Mhe. Hussein Bashe naomba ufafanuzi kidogo kama hautojali. Kwenye hotuba yako ya bajeti umesema kilimo kilizalisha ajira 475,025 mwaka 2023/24. 1. Unaweza kutusaidia ufafanuzi namna hizi ajira zilivyozalishwa na njia uliyotumia kufahamu kwamba kweli idadi hii ilizalishwa? 2. Kama sekta ya...
  7. J

    Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha kuagiza Sukari kwa kampuni ya simu, hii haitakuwa na tofauti na Ufisadi wa Lowassa Richmond

    Nimeona kupitia Jambo TV Mh. Mpina akidai Waziri Bashe ametoa Kibali kwa kampuni ya simu ya Itel yenye mtaji mdogo kuagiza Sukari ya Tsh. Billion 6.6. Hii inanikumbusha jinsi Hayati Ndesamburo alivyosema Stationary iliyopo pembeni ya hotel yake pale Mnazi mmoja ndio imejigeuza kuwa Richmond na...
  8. Cute Wife

    Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi

    Katika Mkutano wa wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema; "Hapakuwa na usimamizi wa bei nchini kwani hata pale sukari ilipopatikana kwa bei ndogo nje ya nchi bado iliuzwa kwa kubwa hapa...
  9. Cute Wife

    Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya

    Katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema mananeo ya Waziri Bashe kuwa "Mfumo wote wa usambazaji ni cartel system, msambazaji mmoja tu yuko Mwanza anahudumia mikoa 11" ni uongo...
  10. figganigga

    FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

    MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU WAZIRI WA KILIMO MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI LEO TAREHE 14 JUNI 2024. MHE...
  11. Suley2019

    Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge

    Pichani ni Luhaga Mpina Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amempa siku 10 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwasilisha uthibitisho kwamba Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe amelidanganya Bunge. Dk Tulia ametoa maelekezo hayo wakati akiahirisha Bunge leo Jumanne ya Juni 4, 2024 baada ya mbunge huyo...
Back
Top Bottom