Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao zilizoripotiwa kuibiwa huzikuta kwa watu ambao wamezinunua kutoka kwa watu waliopewa simu hizo na maafande...
Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua
Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya uhamiaji inanibidi nianze upya ufuatiliaji (kulipia 20,000 ) kwenye control number.? au nitaendelea nilipo...
NA. MWANDISHI WETU – BAKU, AZERBAIJAN.
TANZANIA imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee kuiga mfano wa Tanzania na kuendelea...
NA. MWANDISHI WETU- WINDHOEK
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa kuwa na Kituo cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) katika Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya...
Hodi wanajamii! 👋
Naitwa Oscar Ndayi 🇧🇮, Mrundi kwa asili lakini kwa sasa nipo nchini Indonesia 🇮🇩 kusoma (Doctoral Student) katika Programu ya Tathmini ya Miradi (Program Evaluation), Chuo Kikuu cha Yogyakarta State University. 🎓
Nina furaha isiyo kifani kuona fursa ya kuwa na wa East...
Wasaalam.
MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume).
Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22.
Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029.
Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali.
Baadhi ya shule zimekuwa tegemezi, fedha zikitoka hazijulikani zinatumika wapi, watoto karibia shule nzima wanakaa chini, ukarabati...
Anonymous
Thread
awali
bure
duni
elimu
elimu bure
elimu ya awali
kina
kuanzia
mashuleni
matumizi
pesa
serikali
suala
tofauti
ufuatiliaji
Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010.
Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo
Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku na serikali kutokana na kuwafanya wanafunzi kukariri.
Lakini bado Baadhi ya Shule hizo zimekuwa...
Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao.
Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
WAZIRI MHAGAMA APOKEA MWONGOZO WA KITAIFA WA UFUATILIAJI NA TATHMINI KATIKA TAASISI ZA UMMA.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshugulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, Amepokea Rasimu ya kwanza ya Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Utendaji wa Shughuli za...
Siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang kufanya ziara ya siku tano barani Afrika, Waziri wa mambo ya nje wa Fedha wa Marekani Bibi Yellen Jaret ameanza ziara yake ya siku 10 barani Afrika itakayomfikisha Senegal, Zambia na Afrika Kusini, akiwa na ujumbe kuwa Marekani...
Rushwa inarudi kwa kasi Tanzania na inasikitisha sana. Serikali na viongozi wakuu kama wenyewe sio wala rushwa inabidi wafanye ufuatiliaji wa vitu vya wananchi. Nitatoa mifano hapa
1. Kama ni mfanyakazi wa serikali tujiulize ni kwanini card za NIDA zinachelewa? Ukiangalia vizuri hakuna tatizo...
VTS ni mfumo wa kisatelaiti wa ufuatiliaji mwenendo wa magari barabarani. Mfumo huu unafanana sana na ile mifumo ambayo wengi wameizoea kama Car track au U-truck.
Mfumo huu kwa sasa unatumika hapa Tanzania chini ya usimamizi wa LATRA. Kwa kuanzia mabasi 100 ya njia ya kati Dar-Mwanza, Kahama...
Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo.
Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ni muhimu katika ngazi za kitaifa, kikanda na kimataifa. Baada ya chanjo yoyote kutambulishwa, WHO hufanya kazi na watengenezaji chanjo, maafisa wa afya, kamati za ushauri za kitaifa na washirika wengine kufuatilia maswala yoyote ya usalama kwa kila mara. Maswala...
Wakurungwa Kumekucha
Kimsingi Mimi Sidhani kama ilikuwa ni busara IGP Sirro kutangaza adharani nia ya kufatilia mafunzo yanayo endelea misikitini na manisani.
Let say kweli baadhi wanafundisha uovu kwa watoto, je wataendelea kufundisha wakati mumewastua!?
Polisi Mnafanya watu kubuni mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.