Wakuu
Hali ya sintofahamu imeibuka eneo la Forest Hill, mjini Morogoro baada ya kifo cha binti Irene Joseph Akaro (30), ambapo mama wa marehemu ametaka mwili kupelekwa Kanisa la Kipentekoste la Ufufuo na Uzima ili aombewe ili afufuke, huku ndugu upande wa baba mzazi ukitaka taratibu za maziko...
Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu huyo kwa madai kuwa halina mashiko.
Kwenye shauri hilo la jinai, Namba 19525, Mwaka 2024...
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.
Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.
Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa?
Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano...
Askofu anajificha kwenye kanisa akijidai anaongea na wanawe, lakini kupitia kanisa amekua akitoa shutuma nzito kwa serikali na watu.
Kwa kumbukumbu zangu aliwai kumsema vibaya mkuu wa mkoa wa Arusha na kumuita mtoto wa dawa kisa kapiga marufuku makanisa kupiga kelele usiku.
Kupitia kanisa...
Katika video hapo chini ASKOFU mkuu makanisa ya ufufuo na uzima anaonekana akitoa sauti zisizoeleweka ambazo mim kama muumini wa dini ya kikristo SIJAMUELEWA alichojaribu kumaanisha.
Naomba ufafanuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.